✓ Usajili wa haraka
✓ Aplikesheni rafiki na rahisi kutumia
✓ Kubali tuu oda zenye manufaa kwako
Hakuna kamishen
Hatutozi kamishen kabisa, jiunge na ufurahie oda za abiria
Bei hazipangwi na Aplikeshen
Sasa bei ni za kiungwana na uwazi. Chagua abiria mwenye bei nzuri au weka bei mwenyewe
Rahisi kutumia
Usajili wa haraka, Inaonyesha pakumchukua mteja na anakoenda, Ratiba huru
Malipo ya papo hapo baada kukamilisha safari
Abiria anakulipa mara baada ya kufika, kwa pesa tasilim au kwa huduma za kifedha
1
2
3
Hatua ni tatu tuu
cities in 45 countries
rides
users
1 Mnaanza lini kutoza kamishen?
Tunatoa huduma bila kuchaji kamisheni kwa kipindi cha miezi sita ya mwanzo baada ya tarehe rasmi ya kuzinduliwa huduma kwenye mji wako.Baada ya hapo kamisheni itakua 5-8%
2 Nawezaje kurekebisha taarifa zangu kwenye Ap kama vile (Pleti namba' Aina ya gari nk)
Ndio unaweza, bonyeza kitufe cha mistari mitatu kilichopo juu kabisa upande wa kushoto wa skrini yako kisha weka jina lako na bonyeza "Edit car information" taarifa zako ama za gari yako kubadishwa
3 Nawezaje kuweka maoni yangu kuhusu abiria?
Bonyeza kitufe chenye mistari mitatu upande wa juu was skrini yako kisha chagua "support" hapo utaweza kujadiliana nasi kuhusu abiria.
4 How can I contact you?
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia online chat, kwa tovuti yetu - support@indriver.com au kwa simu namba 8 800 600 95 60 (urusi) , + 7 727 350 59 80 (Kazakhstan)
5 Kuna haja gani ya nyaraka zangu kukaguliwa?
Ili kujihakikishia usalama wa watumiaji wa huduma yetu; Nyaraka zinapitiwa na usalama wa taarifa zako unalindwa kwa sheria za huduma yetu
6 Kuna mfumo gani wa malipo?
Kwa sasa malipo yote ni ya pesa tasilimu ila huko baadae tutakua na mifumo mingine ya malipo
7 Jinsi gani unaweza kubadili "driver mode"?
Fungua menyu ya aplikesheni kisha chagua "Driver mode"
8 Naweza kutumia huduma wakati mimi ni dereva taxi tayari?
Ndio, bila tatizo lolote, unachotakiwa kufanya ni kujisajili kisha utaweza kuanza kutumia huduma.
9 Nawezaje kubadili namba yangu kwenye aplikesheni?
Fungua menyu ya aplikesheni kisha chagua "settings" - change the phone number
10 Inachukua muda gari kwa nyaraka zangu kukaguliwa?
Ukaguzi wa taarifa zako utakamilika ndani ya saa 24