45 Nchi

625+ Miji

1 bilioni

safari

100 milioni

watumiaji

Tuchague

    Malipo nafuu ya huduma

  • Haizidi 11.4%
  • 0% kwa miezi 6 ya kwanza

    Safari rahisi kabisa

  • Chagua safari kulingana na eneo, bei na abiria
  • Unajiajiri

    Malipo ya papo hapo

  • Abiria hukulipa moja kwa moja
  • Pesa taslimu au za kielektroniki

Jinsi ya kuanza

1

Pakua inDrive na ujisajili

Thibitisha namba yako ya simu na ubonyeze kitufe cha 'Switch to driver' upande wa menyu. Jisajili kuwa dereva

2

Chagua ombi la safari

Fungua sehemu ya 'City' ili uone maombi yanayotumwa na uchague safari ambayo ungependa kukubali

3

Pata malipo papo hapo

Abiria hukulipa moja kwa moja kwa pesa taslimu au kielektroniki. Unaweza kuangalia mapato yako wakati wowote

4

Pata notification

Wezesha 'Online' katika App ili upate taarifa papo hapo kukiwa na maombi ya safari yenye faida katika eneo lako

Moani ya madereva

Anda Mnyute

South Africa

Ni rahisi sana kutumia inDrive: inanisaidia kujua uwezekano wa maeneo yasiyo salama, na pia kipengele cha wakati wa kuwasili kinanisaidia sana nikiwa dereva.

Edwin Lara

Ecuador

Faida zake ni nzuri: dereva anaweza kujadili gharama ya huduma wanazoandaa

Stephany Portillo

El Salvador

Nimepata manufaa kwelikweli kwa sababu mbili, ya kwanza ni faida katika usafiri na ya pili ni kufuatia uhakika wa kwamba wasafiri wamefika salama salimini na kwa wakati, na sasa wanaiamini kabisa apu hii.

Adnan Mahmood

Pakistan / Lahore

Nimeridhika kabisa na inDrive. Tangu nilipoanza kutumia apu hii, nimekuwa nikisafiri zaidi na kuwafikisha wateja hadi vituo wanavyokusudia.

Sam Ariandi

Indonesia / Medan

Ninapenda kutumia apu ya inDrive kwa sababu ya malipo ya chini ya huduma na saa za kazi zilizonyumbulika

Mohamed Qassem Mohamed

Egypt

Apu hii ni ya kipekee kabisa na inapata umaarufu mkubwa sasa hivi, hilo linaonekana katika ongezeko la idadi ya safari kwenye apu. Apu hii ni maarufu kwa sababu ni rahisi kuitumia: haihitaji jitihada au ujuzi wa pekee ili kuielewa.

Nekruz Alibekov

Russia

Ni rahisi kutumia apu hii, unaweza kuona haraka vituo vya kuchukuliwa na vya kushushwa, unaweza kutumia gari linaloelekea unakotaka kuenda. Unaona bei inayopendekezwa na msafiri, pia unaweza kuweka bei ya juu zaidi na uanze kujadili.

Marcel Pires

Brazil

Ninafurahi sana kwa kufanya na inDrive: ni apu iliyobuniwa vema, rahisi na inayotumika. Unaweza kupata kiasi kikubwa cha pesa kwa sababu hii ndiyo apu inayotoza huduma kwa malipo ya chini zaidi

Ajay Verma

India

Ni apu nzuri sana kwa madereva. Tofauti na apu nyingine zote, inDrive imenipatia uhuru kazini, na pia imenipatia malipo yanayofaa kwa kila safari. Nina uhuru wa kuchagua bei na safari ninayotaka. inDrive imebadili maisha yangu nikiwa dereva na sasa ninafanya kazi kwa uhuru. Ni rahisi sana kutumia apu hii. Ndiyo sababu pia ninapendekezea marafiki zangu wajiunge nayo.

The inDrive online passenger transportation aggregator is not a taxi service and is not involved in the relationship of Users. All requests are created, sent and performed by users independently.